KOCHA WA HISPANIA AMKATAA NEYMAR
Kocha wa zamani wa klabu ya Real Madrid na timu ya Taifa ya Hispania Vicente del Basque ameeleza kutopendezwa na mbinu za mchezo ambazo hutumiwa na Neymar akiwa uwanjani. Neymar amekuwa akipingwa na tabia yake ya kujiangusha na udanganyifu wa kufanyiwa madhambi na kuhesabiwa si vitendo vizuri vya kimichezo. “Kwangu mimi (Neymar) si mfano mzuri …