KOCHA WA DAVID DE GEA AONDOKA MAN UNITED
Kocha wa kipa wa Manchester United David De Gea, Mhispania Emilio Alvarez ameondoka katika timu hiyo, wamethibitisha Man United. Alvarez,47, ameripotiwa kuondoka Man United baada ya maswali kuja juu ya mbinu zake za ufundishaji kufuatia kiwango cha David De Gea kushuka kuanzia msimu uliopita. Mhispania huyo alijiunga na Man United mwaka 2016 kuungana na De …