MICHAEL WAMBURA KAFAIDIKA NA MSAMAHA WA RAIS MAGUFULI SASA HURU
Aliyekuwa makamu wa Rais wa shirikisho la mchezo wa mpira wa miguu hapa nchini TFF Michael Richard Wambura leo ameachiwa huru katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu. Wambura ameachiwa huru baada ya kukubali kutii agizo la Rais Magufuli la wale waliokuwa wanatuhumiwa kwa kesi za utakatishaji fedha na uhujumu uchumi kupitia kwa DPP kama watakiri …