LALIGA HAWAJAPENDEZWA NA UAMUZI WA RFEF KUHUSU EL CLASICO
Shirikisho la mchezo wa mpira miguu nchini Hispania (RFEF) baada ya kukaa limepitisha tarehe mpya ya mchezo wa El Clasico wa FC Barcelona dhidi ya Real Madrid uliyokuwa awali uchezwe Oktoba 26 Nou Camp lakini ukaahirishwa kutokana na machafuko ya kisiasa Catalunya. RFEF kwa kushirikiana na kamati ya mashindano wametangaza sasa mchezo wa kwanza wa …