PAWASSA KAMUITA DIDA TIMU YA TAIFA YA UFUKWENI KUJIANDAA NA COPA DAR ES SALAAM
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania ya soka la ufukweni Boniface Pawassa amethibitisha kuwa amemuita kikosini golikipa wa zamani wa timu za Simba na Yanga Deogratus Munish ‘Dida’ kwa ajili ya Mashindano ya Copa Dar es salaam. Dida ameitwa kuongeza nguvu katika kikosi hicho kilichoanza mazoezi katika uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam …