EPL IMEENDELEA: BAADA YA KICHAPO UNAI EMERY AOMBA MUDA ZAIDI KUKUZA WATOTO
Ligi kuu ya England EPL imeendelea Novemba 9, zikichezwa jumla ya mechi 6 Mechi ya kwanza ilikuwa ni Chelsea dhidi ya Crystal Palace, Frank Lampard akiendelea pata matokeo mazuri kwa kikosi chake kuibuka na ushindi wa goli 2 – 0 zilizofungwa na Tammy Abraham 52′ na Pulisic 79′. Katika uwanja wa King Power stadium, Leicester …