ARSENAL YAILAZIMISHA SARE CHELSEA NYUMBANI
Chelsea wakiwa nyumbani dhidi ya Arsenal, hii ilikuwa ni mechi ya 200 kwa timu hizi kukitana katika mashindano yote. Chelsea waliingia katika mchezo huu wakiwa hawajapoteza mchezo wowote wa nyumbani katika mechi 7 zilizopita huku Arsenal wakiingia na rekodi ya kutokuwa na ushindi katika mechi 7 zilizopita za ligi katika uwanja wa Stanford Bridge (D1, …