HATIMAYE MAN UNITED WAFANIKIWA MPATA BRUNO FERDNANDES
Toka kwa Fabrizio Romano mwandishi wa habari za michezo, imeelezwa kuwa Manchester United imefanikiwa fanikisha dili la kumsajili Bruno Ferdnandes kwa ada ya yuro 55 millioni pamoja na ongezeko la yuro 25 millioni litakalotokana na makubaliano yaliyopo katika mkataba. Makubaliano yameshakamilika na Bruno anatarajiwa kusafiri muda wowote kwenda Manchester kwa ajili ya vipimo vya afya …