Mourinho amtetea kocha wa Chelsea.
Chama cha soka cha England FA kimempiga faini ya pauni 6,000 ( Tsh Milioni 17) kocha msaidizi namba mbili wa Chesea Marco Ianni kwa kosa la kufanya kitendo cha kebehi kwa kocha wa Machester United Jose Mourinho baada ya goli la kusawazisha alilofunga Ross Barkley dakika za lala salama katika mechi iliyoisha kwa sare ya …