Henry bado hajaisaidia AS Monaco
Kocha mpya wa AS Monaco ambaye amewahi kuichezea klabu ya Arsenal, Thierry Henry anadaiwa kuanza kuwa katika hali ya presha kutokana na timu yake ya AS Monaco kuzidi kuboronga katika michezo ya Ligi Kuu Ufaransa msimu wa 2018/2019. Henry anadaiwa kuanza kuwa na hofu ya kibarua chake kutokana na kuiongoza AS Monaco katika mechi nne …