Azam FC itarudi uwanjani November 22 2018.
Mara baada ya kumaliza mchezo wake dhidi ya Kagera Sugar, kikosi cha Azam FC kinatarajia kucheza mchezo mwingine Novemba 22 mwaka huu dhidi ya Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Azam Complex. Ligi kuu ya soka Tanzania bara itasimama kwa siku 18 kupisha michezo ya kufuzu Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Cameroon, ambapo Tanzania ‘Taifa …