Humud Abdulahim kujibu mapigo ya KMC
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii leo aliyekuwa mchezaji wa KMC Humud Abdulahim, ambaye jana ilitoka taarifa rasmi kupitia msemaji wa klabu ya KMC iliyopanda daraja msimu huu Walter Harrison kuelezea sababu za kwanini Humud aliandika barua rasmi ya kuomba kuvunja mkataba wake na klabu hiyo, ameandika taarifa za kujibu tuhuma hizo na kuahidi …