Man United wayarudia maajabu ya Camp Nou nchini Italy.
Mwamuzi kutoka Italy Pierluigi Collina Mei 26,1999 katika uwanja wa Camp Nou, jijini Barcelona nchini Spain alishuhuhudia moja ya maajabu katika maisha yake ya uamuzi wa mchezo wa mpira wa miguu. Dakika ya 67 alimruhusu Sir Alex Ferguson afanye mabadiliko kwa kumtoa Jesper Blomqvist na kuruhusu Teddy Sheringham aingie uwanjani. Baadae dakika ya 81 Collina …