Jose Mourinho atua tena kwa Diego Simeone
Man United walishindwa kumsajili beki wa Atletico Madrid katika dirisha la usajili lililopita, lakini hawajakata tamaa ya kumleta Mruguay huyo Old Trafford Atletico Madrid wameripotiwa kuwa wapo katika mazungumzo ya kumpa mkataba mpya beki huyo na Man United wanafuatilia kwa ukaribu majadiliano hayo Godin na wawakilishi wake walikataa ofa ya Pauni milioni 20 kutoka kwa …