Mchezaji wa Wales aomba ndege ya Gareth Bale
Mei 3 mwaka huu Floyd Mayweather aliamka asubuhi nyumbani kwake nchini Marekani akiwa hajisikii vizuri, akaita marubani wake na kupanda ndege yake na kwenda zake Singapore kuweka akili yake sawa. Kesho yake hakubaki tena Singapore,alikwea pipa lake na kutua mjini Bali, Indonesia kula maisha. Si kila mtu anayeweza kufanya hayo mabalaa ya Floyd Mayweather. Beki …