MASHABIKI WA SIMBA WAMLILIA AUSSEMS ‘UCHEBE’
Kocha wa zamani wa klabu ya Simba Mbelgiji Patrick Aussems, ameandika katika kurasa wake wa Instagram kuhusu kuguswa na mashabiki wa Simba kumkata arejee katika timu hiyo “Nimeguswa sana na maelfu ya meseji nilizopokea katika siku chache zilizopita zikinitaka nirudi. Simba SC ni timu kubwa yenye wachezaji wazuri na mashabiki wazuri. Ninawatakia kheri na nina …