JOSEPH PARKER ATOLEWA KATIKA PAMBANO LAKE NA CHISORA
Bingwa wa zamani wa uzito wa juu Joseph Parker ameondolewa katika pambano lake na Dereck Chisora ikiwa zimebaki wiki chache kufanyika.Pambano hilo lilipangwa kufanyika Oktoba 26 mwaka huu. Taarifa kutoka kwa promota Eddie Hearn imeeleza Parker,27, atashindwa kushuka katika pambano hilo kutokana na kuwa mgonjwa. “Tunafanya kazi kuona tunapata mbadala sahihi na tutaleta taarifa zaidi …