Draymond Green akosa mechi baada ya kugombana na Kevin Durant
Draymond Green amekosa mechi ya leo ya timu yake ya Warriors dhidi ya Atlanta Hawks kufuatia kufungiwa na uongozi wa timu hiyo kwa kosa alilofanya kwenye mchezo wa jana waliopoteza dhidi ya LA Clippers. Green aligombana na mchezaji mwenzake wa Warriors Kevin Durant katika mchezo huo, ugomvi huo ulitokea baada ya Green kushindwa kumpa mpira …