BIFU LAKE NA GREEN LILICHANGIA DURANT KUONDOKA WARRIORS
Nyota wa NBA Kevin Durant amethibitsha uhusiano wake mbaya na mchezaji mwenzake Draymond Green ulichangia aondoke Golden State Warriors. Durant na Green wote wakiwa Warriors, mwezi Novemba mwaka jana walirushiana maneno baada ya Draymond Green kupata Rebound katika mechi dhidi ya LA Clippers na kukataa kumpa pasi Durant ambaye alikuwa wazi mechi ikiwa 106-106 sekunde …