DIEGO MARADONA AUNGANA NA KALIDOU KOULIBALY
Jina la Diego Maradona ni miongoni mwa majina makubwa katika soka na kiuhalisia ni kwamba ukizungumzia magwiji wa soka duniani huwezi kuacha kumtaji Diego Maradona wa Argentina na gwiji mwenzake wa Brazil Pele, ukubwa wa majina yao umetokana na mambo makubwa waliyokuwa wanayafanya uwanjani enzi hizo. Hivi karibuni katika mchezo wa Inter Milan dhidi ya …