ZANA NA VITALIS MAYANGA MAMBO SAFI CAF, SASA KAZI KWAO
Imetolewa taarifa njema kwa klabu ya Simba ya Tanzania ambao ndio wawakilishi pekee watanzania katika michuano ya kimataifa, taarifa inayohusu Simba iliyotolewa na shirikisho la mpira wa miguu Afrika CAF inawahusu wachezaji wapya wa Simba Zana Coulibaly raia wa Burkinafaso na Vitalis Mayanga Mtanzania. Simba imefanikiwa kupokea leseni za wachezaji Zana Coulibaly na mshambuliaji wa …