Usiempenda kaja, Messi yupo fiti kuwavaa Madrid
Baada ya nchini Hispania na duniani kote hofu kutanda kuwa mchezo wa nusu fainali wa Copa Del Rey wa Barcelona dhidi ya wapinzani wao Real Madrid leo unaweza kuchezwa bila uwepo wa nyota wao Lionel Messi ambayo alihofiwa kuwa angeukosa mchezo huo kwa majeruhi, mambo yamekuwa tofauti. Lionel Messi ambaye ni mchezaji tegemeo wa timu …