Kocha wa Simba anaamini Al Ahly waliwachukulia poa
Simba SC ya Tanzania imeendeleza harakati zake za kurudisha heshima katika soka la Afrika Kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Al Ahly walioupata leo uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam shukrani zikitajwa kwenda kwa Zana na John Bocco waliompikia bao safi Meddie Kagere dakika ya 65. Baada ya mchezo huo Simba ambao wanataraji …