Kutoka kwa Wayne Bridge na Terry mpaka Yondani na Ajib
Februari 2010 beki wa kushoto Wayne Bridge akiwa Man City alikataa kumpa mkono beki wa Chelsea John Terry katika mechi iliyokutanisha timu zao, sababu ya Bridge kukataa kumpa mkono Terry ni kufuatia nahodha huyo wa Chelsea kutoka kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wake Vanessa Perrencel, ambaye nae alikuwa ni rafiki wa karibu wa mke wa John …