Wenger alimtabiria Mbappe
Kocha wa zamani wa klabu ya Arsenal ambaye aliondoka katika timu hiyo baada ya kudumu nayo kwa miaka 22, Arsene Wenger amenukuliwa na mtandao wa ESPN UK akisifia uwezo wa mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa anayekipiga katika klabu ya Paris Saint Germain Klylian Mbappe. Wenger amekiri kuwa alitambua kipaji cha Kylian Mbappe mapema kabisa kwa …