Hii ndio sababu ya Solskjaer kuvaa bib jana
Pengine wewe ni moja ya watu ambao tulijiuliza kwa nini kocha wa Man United Ole Gunnar Solskjaer alivaa bibs ya njano jana kwenye mchezo dhidi ya PSG na hatukupata jibu kwa muda ule ambao mechi inaendelea. Mwanzoni mwa mchezo Solskjaer aliingia akiwa amevaa nguo nyeusi kutoka juu mpaka chini, lakini baada ya muda mchache tulishuhudia …