Solskjaer kulipwa mshahara nusu wa Mourinho
Pamoja na kuwa klabu ya Manchester United ilimtangaza kuwa Ole Gunnar Solskjaer ni kocha wa muda wa klabu hiyo hadi mwisho wa msimu watakapoamua kumtangaza nani kocha wa kudumu baada ya kumfuta kazi Jose Mourinho mwezi Desemba 2018, inaonekana Solskjaer kama ndio bahati itamuangukia. Mitandao mbalimbali habari za michezo barani Ulaya kufuatia kufanya vizuri kwa …