Pochettino ampa sifa beki wa Liverpool
Kocha wa Tottenham Hotspur Maurcio Pochettino amesifia uwezo wa beki wa Liverpool Virgil van Dijk aliounesha jana katika mechi ambayo majogoo hao waliondoka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Spurs Anfield. Pochettino amesifia namna ambavyo beki huyo aliweza kumzuia mchezaji wake Moussa Sissoko asifunge katika dakika za mwisho wa mchezo muda mchache kabla ya …