Simba wakataa waamuzi kutoka Zambia
Klabu ya Simba imetuma barua ya malalamiko kwa shirikisho la soka barani Africa CAF kufuatia waamuzi wa mchezo wao wa marudiano na TP Mazembe April,13 kubadilishwa ghafla. . Awali waamuzi wa mchezo huo mwamuzi wa kati alikuwa anatoka Ethiopia,na mwamuzi msaidizi mmoja kutoka pia Ethiopia mwingine kutoka nchini Kenya, na Fourth Official kutoka Kenya. . …