Al Ahly waanza hujuma dhidi ya Mamelodi
Wakati Simba wakiwalalamikia CAF kwa waamuzi wa mchezo wao wa marudiano na TP Mazembe kubadilishwa, timu ya soka ya Mamelod Sundowns ya nchini Afrika Kusini nao wameanza kutoa lawama zao kupitia chama chao cha soka nchini Afrika Kusini kuelekea shirikisho hilo la mpira wa miguu Afrika kuhusiana na mabadiliko ya uwanja wa mchezo wao wa …