Simba waanza kulisaka kombe lao
Baada ya kurejea Jijini Dar es Salaam kutokea Lubumbashi walikokuwa na mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika na kutolewa katika michuano hiyo kwa kufungwa bao 4-1 na TP Mazembe, kikosi cha Simba SC kimeanza safari leo asubuhi kuelekea mkoani Tanga kwaajili ya mchezo wake wa Ligi kuu Tanzania bara dhidi ya …