Karia atoa kauli kuhusu tuhuma za rushwa zinazomkabili
Pamoja na kuwa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kupitia kwa katibu Mkuu wake Wilfred Kidao kumtetea na kumsafisha Rais wa shirikisho hilo Wallace Karia katika tuhuma za mgao wa rushwa wa Tsh milioni 46 kutoka kwa Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF), majibu ya TFF na Karia yanatofautiana. TFF …