Mwenyekiti wa Yanga ashangazwa na usajili wa Makambo
Baada ya taarifa kusambaa juu ya Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Heritier Makambo kusaini mkataba wa miaka mitatu na timu ya Hoyora AC ya nchini Guinea,Klabu ya Yanga kupitia kwa Mwenyekiti wake Mshindo Msolla amesema kuwa wanamsubiri Kocha mkuu wa Klabu hiyo Mwinyi Zahera aje atoe ufafanuzi juu ya suala hilo. . Msolla amesema kuwa …