Mwamuzi afungiwa na CAF miezi 6 kwa kuboronga fainali
Shirikisho la mchezo wa mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limeendelea kuhakikisha marefa na waamuzi wa mchezo wa soka wa kiafrika wanakuwa makini kwa CAF kuwa wakali na kuwaadhibu yanapotokea mapungufu. . Kufuatia mchezo wa kwanza wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Wydad Casablanca ya nchini Morocco dhidi ya Mabingwa watetezi wa …