Nyoni amwaga wino Simba
Beki wa klabu ya Simba SC Erasto Edward Nyoni ameongeza mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuitumiki hiyo Nyoni amejiunga na Simba mwaka 2017 baada ya kumaliza mkataba wake na Klabu ya Azam
Beki wa klabu ya Simba SC Erasto Edward Nyoni ameongeza mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuitumiki hiyo Nyoni amejiunga na Simba mwaka 2017 baada ya kumaliza mkataba wake na Klabu ya Azam
Sasa moja kati ya tuzo zinazokuwa zinasubiriwa kwa hamu katika soka ni pamoja na tuzo ya Ballon d’Or 2019, kwa miaka 10 iliyopita kabla ya mwaka jana kuchukua Luka Modric ilikuwa tuzo hiyo inatawaliwa na Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ambao walikuwa wakipokezana. Kwa mwaka 2019 hadi sasa inatajwa kuwa Cristiano Ronaldo hapewi nafasi kutwaa …
Baada ya mechi ya fainali kati ya Ureno na Uholanzi kumalizika hapo jana, Cristiano Ronaldo alimfuata beki wa Uholanzi na nahodha wa Ajax Matthijs de Ligt na kumwambia ajiunge na Juventus. . “Ronaldo aliniuliza kuhusu kuja Juventus. Nilishangazwa na kidogo na lile swali,ndio maana nilicheka. Mara ya kwanza sikumuelewa….Kwa hiyo sikusema chochote.” Alisema De Ligt …
Rafa Nadal anaendelea kuwa Mfalme wa Clay Court. Katika mchezo wa fainali ya French Open 2019 jana dhidi ya Dominic Thiem wa Austria, Nadal ameibuka na ushindi wa seti 6-3,5-7,6-1,6-1. Hii ni mara ya 12 Mhispania huyo anachukua ubingwa wa michuano hii ya French Open, na pia ni mara ya tatu mfululizo anachukua ubingwa huo. …
Klabu ya Simba imetangaza kuwa mshambuliaji wao John Bocco amesaini mkataba mpya wa miaka miwili klabuni hapo. Bocco alijiunga na Simba mwaka 2017 akitokea Azam FC aliyoicheza kwa zaidi ya miaka 10.
Mfalme wa Clay Court Mhispania Rafa Nadal ameshinda mechi ya nusu fainali ya michuano French Open 2019 kwa seti 6-3, 6-4, 6-2 dhidi ya Mswiss Roger Federer. Nadal ambaye ni bingwa mara 11 wa michuano hiyo, hii ni mara ya 12 anafuzu hatua ya fainali ya French Open. Mhispania huyo ambaye ni bingwa mara mbili …
Mara kadhaa imewahi kuripotiwa kuwa uongozi wa juu wa LaLiga haukuzipokea kwa furaha taarifa za nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo kuhama Real Madrid na kujiunga na Juventus ya Italia, LaLiga inadaiwa waliona kuwa Ligi yao imeondokewa na mchezaji muhimu ambaye ana mashabiki wengi. Kwa LaLiga hiyo ilikuwa shida kwao , nahodha …
Michuano ya klabu Bingwa Ulaya imemalizika huku tukishuhudia timu zenye majina ya wachezaji nyota kama FC Barcelona wakiwa na Lionel Messi na Juventus wakiwa na Cristiano Ronaldo kuondolewa katika michuano hiyo na kushindwa kufika fainali. Wengi wameanza kuhoji ni nani anastahili kupewa tuzo ya Ballon d’Or 2019 ikiwa Lionel Messi na Ronaldo hawajafanya vizuri sana …
Klabu ya Valencia ya nchini Hispania imeamua kutambua mchango wa shabiki wao aliyekuwa mlemavu wa macho ikiwa ni miaka miwili imepita toka kitokee kifo chake. Valencia wameamua kumuenzi kwa heshima shabiki huyo kwa kumtengenezea sanamu katika siti yake aliyokuwa akipenda kukaa katika uwanja wa Mestalla. Shabiki huyo wa Valencia anayejulikana kwa jina la Vincente Aparicio …
Tanzania itapeleka timu nne katika michuano ya kimataifa msimu ujao 2019/20,shirikisho la soka barani Afrika CAF limethibitisha. Tanzania imepewa nafasi hizo nne kufuatia kuwa katika nafasi 12 bora kwenye viwango vya ubora vya CAF. Shirikisho la soka nchini Tanzania limeeleza kuwa kwa mujibu wa za ligi kuu zilizofanyiwa marekebisho na kamati ya utendaji, timu zitakazoshiriki …