Chirwa na wenzake 7 watemwa Azam FC
Klabu ya Azam FC imeachana na wachezaji wake nane baada ya mikataba yako kuisha na sasa wachezaji hao ni wachezaji huru. Wachezaji hao ni Obrey chirwa ,Daniel Lyanga,Joseph kimwaga,Enock Atta,Ramadhani Singano,tafadzwa Kutinyu,Steven Kingu na Hassan Mwasapili Msemaji wa Klabu hiyo Jaffar Iddi Maganga amesema kuwa uongozi wa juu tayari umeishafanya mazungumzo na wachezaji hao na …