Taifa Stars yachangiwa Milioni 370
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa stars imechangiwa Tsh shilingi million 370 katika harambee iliyozinduliwa leo na kuongozwa na makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. . Harambee hiyo imefanyika leo katika moja ya ukumbi uliopo katika Hotel ya Serena Jijini Dar es Salaam. . Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan amesema kuwa …