ALEX IWOBI KAWEKA WAZI OFA YA EVERTON ILIKUWA NGUMU KUIKATAA
Moja kati ya uhamisho uliyokuwa hautarajiwi kuonekana ukitokea katika dirisha la usajili la majira ya joto lililofungwa England ni pamoja na uhamisho wa Alex Iwobi kutoka Arsenal kwenda Everton. Alex Iwobi aliyecheza michezo 51 ya Arsenal ya mashindano yote msimu ulioisha na kufunga magoli 6 na pasi za usaidizi wa magoli 9 kaweka sababu zilizomfanya …