KINDA ALIYEWAHI KUFANYA MAJARIBIO MAN UNITED KAJITOA UHAI WAKE KISA KUANDAMWA NA MAJERUHI
Kinda aliyewahi kufanya majaribio katika klabu ya Man United Joel Darlington amejiua kwa kujinyonga baada ya kuandamwa na majeraha ya muda mrefu katika maisha yake ya soka ambayo yalimpelekea kutokuwa sawa kiakili. Imethibitishwa kuwa Machi 18 mwaka huu kaka wa mchezaji huyo Kyran alimkuta mdogo wake amejiua katika gereji ya nyumbani kwao Gellifor Kaskazini mwa …