USAJILI WA DAKIKA YA MWISHO WAIBEBA AZAM FC DHIDI YA FASIL KENEMA
Klabu ya Azam FC imeendeleza rekodi yake ya kuhakikisha hakuna mgeni wa mechi za kimataifa atakayetoka Chamazi akiwa ana tabasamu zaidi ya kuondoka kichwa chini. Azam FC ambayo mchezo wa kwanza dhidi ya Fasil Kenema ya nchini Ethiopia kupoteza 1-0, jana imepindua matokeo na kuitoa Fasil Kenema kwa kuifunga mabao 3-1, na hivyo kupita kwa …