DEREVA MWINGINE ANUSURIKA KIFO FORMULA 3 NCHINI ITALIA
Wiki moja baada ya kupata pigo kwa kumpoteza dereva Anthoine Huberth wa Formula 2, wikiendi hii ililazimika mazoezi ya mbio za Italian Grand Prix za formula 1 kuchelewa kuanza baada ya ajali mbaya kutokea katika formula 3 huko Italia. Dereva Alex Peroni wa Formula 3 alipata ajali mbaya katika Italian Grand Prix baada ya gari …