UONGOZI WA FA, PL NA EFL WAFANYA KIKAO NA TWITTER KUJADILI KUBAGULIWA KWA WACHEZAJI
Mamlaka za soka nchini England, (chama cha soka FA, ligi kuu na EFL )zimekutana na kufanya kikao na viongozi wa mtandao wa kijamii wa twitter kwa ajili ya kujadili namna watavyoepuka ubaguzi wa rangi kwa wachezaji kupitia mitandao ya kijamii. Hatua hiyo imefikiwa baada ya viongozi hao wa soka kuona baadhi ya wachezaji msimu huu …