LEEDS NA MARCELO BIESLA WALIVYOSHINDA TUZO YA FIFA FAIR PLAY
Leeds United na kocha wao Marcelo Biesla wameshinda tuzo ya FIFA Fair Play 2019 kufuatia kitendo cha uungwana walichokionesha katika mechi yao dhidi ya Aston Villa msimu uliopita. Mchezaji wa Aston Villa Jonathan Kodjia akiwa amelala chini baada ya kuumia, Leeds waliendelea na mchezo na Mateusz Klich kufunga goli liliowafanya wenyeji Leeds kuongoza kwa goli …