DAKIKA 15 ZIMEMTOSHA PEPE KUWA SHUJAA WA ARSENAL KATIKA UWANJA WA EMIRATES
Baada ya kuibuka gumzo mitandaoni na kukosolewa kutokana na kudaiwa kukosa goli la wazi katika mchezo wa EPL dhidi ya Sheffield timu yake ya Arsenal ikipoteza 1-0, Nicholas Pepe anawafunga watu midomo. Usiku wa Europa League kocha wake Unai Emery aliamua kumuanzishia benchi Nicolas Pepe katika mchezo dhidi ya Vitoria ambao ulimalizika Arsenal kwa kupata …