TFF IMEHITIMISHA SEMINA YA WAANDISHI 30 WA HABARI ZA MICHEZO KWA KUWAPA VYETI
Shirikisho la soka Tanzania TFF limefanikisha kufunga semina ya siku mbili ya waandishi wanawake wa habari za michezo Tanzania iliyokuwa inafanyika jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliyokuwa inashirikisha waandishi wa habari za michezo 30 wanawake nchini Tanzania, ilikuwa na lengo la kuwaongezea zaidi maarifa waandishi hao na kuboresha uelewa wao katika tasnia hiyo. Mmoja …