SAMATTA KUTUA WEST HAM
Klabu za West Ham na Newcastle United zinamtaka mshambuliaji wa Genk Mbwana Samatta ( Via BBC Sports )
Klabu za West Ham na Newcastle United zinamtaka mshambuliaji wa Genk Mbwana Samatta ( Via BBC Sports )
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara imeendelea leo uwanja wa Uhuru kwa Bingwa mtetezi Simba SC kucheza dhidi ya Tanzania Prisons ya Mbeya. Simba SC leo walikutana na kigingi cha Tanzania Prisons ambao tayari walikuwa wamecheza mechi 9 kabla ya mchezo wa leo wakiwa wameshinda mechi 3, sare sita na mchezo wa leo uliomalizika kwa …
Ronaldo anataka kununua timu ya pili ya soka baada ya kuinunua Valladolid mwaka janaMshambuliaji wa zamani wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Brazil, Ronaldo Nazario amefichua kuwa anataka kununua timu pili ya mpira wa miguu baada ya mwaka jana kufanikiwa kuinunua Real Valladolid ya nchini Hispania mwaka jana. Biashara ya kumiliki timu inaonekana …
Aliyekuwa Kocha mkuu wa Yanga SC Mwinyi Zahera baada ya kufutwa kazi na waajiri wake kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa timu yao ilivyo kwa sasa. Zahera mbele ya waandishi wa habari aligoma kuongea kwa kigezo kuwa bado hajapewa barua lakini baada ya kupewa barua ameongea na kipindi cha Sports Extra cha Clouds FM …
Katika mechi ya Klabu Bingwa Ulaya kati ya Atalanta na Man City usiku wa Novemba 06, dakika ya 46 kipa wa Man City Ederson alifanyiwa mabadiliko baada ya kuumia na nafasi kuchukuliwa na kipa Claudio Bravo. Kunako dakika ya 81 Claudio Bravo akapewa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu mshambuliaji wa Atalanta Josip Ilicic akiwa …
Kiungo wa Everton Andre Gomes, ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya kufanyiwa upasuaji wa kifundo cha mguu. Kiungo huyu aliumia katika mechi iliyoisha kwa sare ya 1 – 1 dhidi ya Tottenham Jumapili iliyopita. Gomes sasa ataendelea kuwa chini ya uangalizi wa madaktari wa klabu, huku taarifa toka klabu hiyo ikisema upasuaji ulienda vyema na mchezaji …
Mshambuliaji Mtanzania anayekipiga Genk jana alifunga goli lake la kwanza katika michuano hiyo ya Ulaya timu yake ikiambulia kipigo cha goli 2 – 1 toka kwa Liverpool. Liverpool walipata bao la kuongoza kupitia Georgino Wijnaldum dakika ya 14 kabla ya Mbwana Samatta kusawazisha dakika ya 40 kwa goli zuri la kichwa. Baada ya mapumziko Oxlade …
Baada ya mgogoro wa Graint Xhaka na mashabiki katika mechi ya sare ya 2 – 2 dhidi ya Crystal Palace, kocha Unai Emery ametangaza kumvua unahodha mchezaji huyo. “Nilikuwa na kikao nae na nikamueleza hatokuwa tena Nahodha, alikubali na alielewa. Nilihitaji kufanya maamuzi na sasa hilo limeisha.” Alisema kocha Unai Emery. Nafasi hiyo ya Unahodha …
Mwenyekiti wa Yanga Mshindo Msolla leo ametangaza kuwafuta kazi kocha mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera pamoja na benchi lake la ufundi .Kocha wa zamani wa timu hiyo Boniface Mkwasa ndio ametangazwa kukaimu nafasi ya Zahera. Zahera ambaye ana uraia wa DR Congo na Ufaransa, alijiunga na klabu ya Yanga katika msimu wa 2017/18, anaondoka …
Baada ya misimu 48, Golden State Warriors wamehama uwanja wa Oracle Arena uliopo Oakland, California na sasa wanatumia uwanja mpya Chase Center uliopo San Fransisco, California. Tangu wahamie katika uwanja wao mpya, ambao wameanza kuutumia rasmi katika msimu huu wa NBA, walikuwa hawajawahi kushinda mechi hata moja kati ya nne walizokuwa wamecheza nyumbani. Si Steph …