KOBE BRYANT, BINTI YAKE NA FAMILIA YA ALTOBELLI WAPOTEZA UHAI KWA AJALI
Nguli wa mchezo wa basketball Kobe Bryant, 41, nab inti yake Gianna, 13, wamepoteza maisha katika ajali ya iliyohusisha takribani watu tisa wao wakiwa miongoni mwao. Braynt alikuwa akielekea katika kituo cha mpira wa kikapu na binti yake Gianna mapema Jumapili asubuhi kabla ya helicopter waliyokuwa wamepanda kuanguka na kulipuka. Kiongozi wa usalama wa jiji …