Rais wa chama cha soka cha Thailand atoa heshima zake kwa mmiliki wa Leicester City baada ya ajali ya Helicopter
Rais wa chama cha soka cha Thailand FAT Soymot Poompanmoung ametoa heshima zake za mwisho kwa mmiliki wa klabu ya Leicester City, Vichai Srivaddhanaprabha aliyefariki katika ajali ya helikopter Jumamosi hii katika uwanja wa King Power stadium. Tajiri huyo ni moja ya watu watano waliofariki katika ajali hiyo. Helikopta hiyo ilianguka muda kidogo tu baada …