Klay Thompson avunja rekodi ya Steph Curry
Steph Curry akiwa anashikilia rekodi yake ya NBA ya kufunga pointI 3 13 katika mechi moja aliyojiwekea Novemba 2016 kwenye mechi yao dhidi ya Orleans pelicans, mchezaji mwenzake wa Warriors Klay Thompon aliivunja hapo juzi katika mechi yao dhidi ya Chicago Bulls. Mechi hiyo iliisha kwa Golden State Warriors kuibuka na ushindi wa points 149 …