SAMATTA AANDIKA REKODI 3 NDANI YA DAKIKA 90
Kipigo cha 2-1 cha Aston Villa dhidi ya AFC Bournemouth hakijawa ishu sana kwa mashabiki wapya wa Aston Villa nchini Tanzania wao furaha yao wengi ilikuwa ni kumuona kijana wao Mbwana Samatta akiitumikia Aston Villa kwa mara ya kwanza katika Ligi Kuu England. Mchezo huo umemalizika Bournemouth akipata ushindi kupitia kwa mabao mawili yaliofungwa na …